Genesis 49
Yakobo Abariki Wanawe
1 aNdipo Yakobo akawaita wanawe na kusema: “Kusanyikeni kunizunguka ili niweze kuwaambia lile litakalowatokea siku zijazo.2 b“Kusanyikeni na msikilize, enyi wana wa Yakobo,
msikilizeni baba yenu Israeli.
3 c“Reubeni, wewe ni mzaliwa wangu wa kwanza,
nguvu zangu, tunda la kwanza la nguvu zangu,
umepita kwa heshima, umepita kwa uwezo.
4Usiyezuiwa kama maji, basi hutakuwa mkuu tena,
kwa kuwa ulipanda kwenye kitanda cha baba yako,
kwenye kitanda changu na kukinajisi.
5 d“Simeoni na Lawi ni wana ndugu:
panga zao ni silaha za jeuri.
6 eMimi na nisiingie katika baraza lao,
nami nisiunganike katika kusanyiko lao,
kwa kuwa wamewaua watu katika hasira yao,
walikata mishipa ya miguu ya mafahali
kama walivyopenda.
7 fHasira yao na ilaaniwe, kwa kuwa ni kali mno,
nayo ghadhabu yao ni ya ukatili!
Nitawatawanya katika Yakobo
Na kuwasambaza katika Israeli.
8 g“Yuda, ndugu zako watakusifu;
mkono wako utakuwa shingoni mwa adui zako;
wana wa baba yako watakusujudia.
9 hEe Yuda, wewe ni mwana simba;
unarudi toka mawindoni, mwanangu.
Kama simba hunyemelea na kulala chini,
kama simba jike: nani athubutuye kumwamsha?
10 iFimbo ya ufalme haitaondoka kwa Yuda,
wala fimbo ya mtawala kati ya miguu yake,
hadi aje yeye ambaye milki ni yake,
ambaye utii wa mataifa ni wake.
11Atamfunga punda wake katika mzabibu,
naye mwana-punda wake kwenye tawi lililo bora zaidi;
atafua mavazi yake katika divai,
majoho yake katika damu ya mizabibu.
12Macho yake yatakuwa mekundu kwa divai,
meno yake yatakuwa meupe kwa maziwa.
13 j“Zabuloni ataishi pwani ya bahari
na kuwa bandari za kuegesha meli;
mpaka wake utapanuka kuelekea Sidoni.
14“Isakari ni punda mwenye nguvu
ambaye amelala kati ya mizigo yake.
15 kAonapo palivyo pazuri mahali pake pa kupumzika
na jinsi nchi yake inavyopendeza,
atainamisha bega lake kwenye mzigo
na kujitolea kwa ajili ya kazi ngumu.
16“Dani atahukumu watu wake kwa haki
kama mmoja wa makabila ya Israeli.
17 lDani atakuwa nyoka kando ya barabara,
nyoka mwenye sumu kando ya njia,
yule aumaye visigino vya farasi
ili yule ampandaye aanguke chali.
18“Ee Bwana, nautafuta wokovu wako.
19“Gadi atashambuliwa ghafula na kundi la washambuliaji,
lakini yeye atawageukia na kuwashinda kabisa.
20 m“Chakula cha Asheri kitakuwa kinono,
naye atatoa chakula kitamu kimfaacho mfalme.
21“Naftali ni kulungu jike aliyeachiwa huru
azaaye watoto wazuri.
22 n“Yosefu ni mzabibu uzaao,
mzabibu uzaao ulio kando ya chemchemi,
ambao matawi yake hutanda ukutani.
23Kwa uchungu wapiga mshale walimshambulia,
wakampiga mshale kwa ukatili.
24 oLakini upinde wake ulibaki imara,
mikono yake ikatiwa nguvu,
na mkono wa Mwenye Nguvu wa Yakobo,
kwa sababu ya Mchungaji, Mwamba wa Israeli,
25 pkwa sababu ya Mungu wa baba yako, anayekusaidia,
kwa sababu ya Mwenyezi, ▼
▼Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania.
yeye anayekubarikikwa baraka za mbinguni juu,
baraka za kilindi kilichoko chini,
baraka za matitini na za tumbo la uzazi.
26Baraka za baba yako ni kubwa
kuliko baraka za milima ya kale,
nyingi kuliko vilima vya kale.
Baraka hizo zote na zikae juu ya kichwa cha Yosefu,
juu ya paji la yule mkuu miongoni mwa ndugu zake.
27 r“Benyamini ni mbwa mwitu mlafi mwenye njaa kuu;
asubuhi hurarua mawindo yake,
jioni hugawa nyara.”
28Haya yote ndiyo makabila kumi na mawili ya Israeli, na hivi ndivyo baba yao alivyowaambia alipowabariki, akimpa kila mmoja baraka inayomfaa.
Kifo Cha Yakobo
29 sNdipo alipowapa maelekezo haya: “Mimi niko karibu kukusanywa kwa watu wangu. Mnizike pamoja na baba zangu kwenye pango katika shamba la Efroni, Mhiti, 30pango lililoko katika shamba la Makpela, karibu na Mamre huko Kanaani, ambalo Abrahamu alinunua kwa ajili ya mahali pa kuzikia kutoka kwa Efroni, Mhiti, pamoja na shamba. 31 tHuko ndiko Abrahamu na Sara mkewe walikozikwa, huko akazikwa Isaki na Rebeka mkewe, na huko nilimzika Lea. 32Shamba hilo na pango lililoko ndani yake lilinunuliwa kutoka kwa Wahiti.”33 uBaada ya Yakobo kumaliza kutoa maelekezo hayo kwa wanawe, akarudisha miguu yake kitandani, akapumua pumzi ya mwisho, na akakusanywa kwa watu wake.
Copyright information for
SwhNEN
Welcome to STEP Bible
A simplified search is now available!Here are the frequently asked questions:
How do I read passages in Bibles?
- How do I look up a passage?
- How do I see three Bibles at once?
- How do I find a parallel gospel passage?
- How do I follow a Bible reading plan?
- How do I also see a commentary?
1) Click the Resource icon.
2) Click the resource for parallel gospel passage
2) Click the resource for parallel gospel passage
1) Click the Resource icon.
2) Plans for 1/2/3 years, chronological, Jewish etc
2) Plans for 1/2/3 years, chronological, Jewish etc
1) Click the Bible button.
2) Click on Commentaries
2) Click on Commentaries
How do I find words and phrases?
- How do I find words or topics?
- How do I search only some books in the Bible?
- How do I find a Greek or Hebrew word?
- How do I find a word only where it relates to a topic?
- How do I find more about search?
Video guide
1) Click on the search button
2) Click on Range
3) Select the books that you wish to search
1) Click on the search button
2) Click on Range
3) Select the books that you wish to search
Video guide
1) Click on the search button
2) Click on the Hebrew or Greek tab
3) Type in the Greek/Hebrew word in the search box, press Return, and wait for the table to fill itself.
4) View corresponding row to see Greek/Hebrew translation of the word

2) Click on the English tab
3) Type in the topic in the search box, press Return, and wait for the table to fill itself.
4) Click on one of the words or topics listed
1) Click on the search button
2) Click on the English tab
3) Type in the topic in the search box, press Return, and wait for the table to fill itself.
4) Click on one of the words or topics listed
How do I do a word study?
- What information can I find about a word?
- Meaning: how the word is used throughout the Bible
- Dictionary: academic details about the word
- Related words: similar in meaning or origin
- Grammar: (only available for some Bibles)
- Why do only some Bibles have clickable words?
- What does “~20x” or “Frequency” mean?
- Why do some words have dropdown next to the frequency number?
- Where do I find the maps?
- How do I get the word frequency for a chapter or a book?
When you click on a word, the detailed lexicon opens with:
'Vocabulary' Bibles link the translation to Greek & Hebrew. So far, only some Bibles have this vocabulary feature. They are shown in the Bible select screen with the letter 'V'.
It is the number of occurrences of a word in the Bible. Click on it to see them all in the selected Bible(s).
This reveals different forms for some words and names. These details are often interesting to scholars, eg the word 'beginning' in Genesis.
Video guide
1st method:
Click on a place name then on the Map button in the detailed lexicon.
2nd method:
1) Click the Resource icon.
2) Click on "Places in the Bible"
1st method:
Click on a place name then on the Map button in the detailed lexicon.
2nd method:
1) Click the Resource icon.
2) Click on "Places in the Bible"
Video guide
1) Click on the analysis icon.
2) Click on the "Selected passage" button if no analysis is shown.
1) Click on the analysis icon.
2) Click on the "Selected passage" button if no analysis is shown.
How do I find more information on original languages?
- How do I see Greek/Hebrew vocabulary for my Bible?
- How do I see Greek/Hebrew transliteration for my Bible?
- How do I see Greek/Hebrew vocabulary for a verse?
- How can I view multiple Bibles together as an Interlinear?
- How do I see the various versions of the Greek OT?
- How do I display the color-coded grammar?
Video guide
1) Click on the Bible translation button
2) Refer to the legend and select the Bible translations with the Vocab feature
3) Click on the Option button, then click "Interlinear options”, then select "Greek / Hebrew". Original language vocab will be shown.

3) Click on the Option button, then click "Interlinear options”, then select "Transliteration".

1) Click on the verse number to list the words and meanings
2) Hover over or click on a word for more details about the word
1) Click on the verse number to list the words and meanings
2) Hover over or click on a word for more details about the word
Video guides
1) Click on the Bible translation button
2) Refer to the legend and select two Bible with the vocabulary feature
3) Click on the Option button, then click Interlinear”. Interlinear will be shown.

2) Select “Ancient” for the language
3) Scroll down to see the Greek OT translations
Examples
2) Select “Ancient” for the language
3) Scroll down to see the Greek OT translations
Examples
Video guide
1) Click on the Bible translation button
2) Refer to the legend and select the Bible translations with the grammar feature
3) Click on "G" or "Grammar" at the navigation bar. The text will then be color coded.

© STEPBible - 2024