1 Corinthians 12:3-4
3 aKwa hiyo nawaambieni ya kuwa hakuna mtu anayeongozwa na Roho wa Mungu anayeweza kusema, “Yesu na alaaniwe.” Pia hakuna mtu awezaye kusema, “Yesu ni Bwana,” isipokuwa ameongozwa na Roho Mtakatifu.4 bKuna aina mbalimbali za karama, lakini Roho ni yule yule.
Copyright information for
SwhNEN