1 Kings 18:26
26 aKwa hiyo wakamchukua yule fahali waliyepewa, nao wakamwandaa.Kisha wakaliitia jina la Baali kutoka asubuhi hadi adhuhuri, wakapiga kelele, “Ee Baali, utujibu!” Lakini hapakuwa na jibu; hakuna aliyejibu. Nao wakacheza kuizunguka madhabahu waliyoijenga.
Copyright information for
SwhNEN