2 Kings 11:4
4 aKatika mwaka wa saba, Yehoyada akatumania wakuu wa vikundi vya mamia, na Wakari, ▼ na walinzi, nao wakaletwa kwake katika Hekalu la Bwana. Alifanya agano nao na kuwaapisha katika Hekalu la Bwana. Ndipo akawaonyesha mwana wa mfalme.
Copyright information for
SwhNEN