2 Samuel 22:10-12
10 aAkazipasua mbingu akashuka chini,mawingu meusi yalikuwa chini ya miguu yake.
11 bAlipanda juu ya kerubi akaruka,
akapaa juu kwa mbawa za upepo.
12 cAlifanya giza hema lake la kujifunika:
mawingu meusi ya mvua ya angani.
Copyright information for
SwhNEN