Acts 17:2-3
2Kama desturi yake, Paulo aliingia ndani ya sinagogi, na kwa muda wa Sabato tatu akawa anahojiana nao kutoka kwenye Maandiko, 3 a , bakidhihirisha wazi na kuthibitisha kwamba ilikuwa lazima Kristo ▼▼Kristo maana yake ni Masiya, yaani Aliyetiwa mafuta.
ateswe na afufuke kutoka kwa wafu. Akasema, “Huyu Yesu ninayewaambia habari zake, ndiye Kristo.”
Copyright information for
SwhNEN