Ezra 6:3
3 aKatika mwaka wa kwanza wa kutawala Mfalme Koreshi, mfalme alitoa amri kuhusu Hekalu la Mungu katika Yerusalemu:Hekalu na lijengwe tena mahali palepale Wayahudi walipokuwa wakitoa dhabihu, kwenye msingi ule ule. Iwe na kimo cha mikono sitini, ▼
▼Mikono 60 ni sawa na mita 27.
upana wa mikono sitini,
Copyright information for
SwhNEN