Galatians 5:5-6
5 aKwa maana, kwa njia ya Roho kwa imani, tunangojea kwa shauku tumaini la haki. 6 bKwa maana ndani ya Kristo Yesu, kutahiriwa au kutokutahiriwa hakuleti tofauti, bali lililo muhimu ni imani itendayo kazi kwa njia ya upendo.
Copyright information for
SwhNEN