Genesis 35:18
18 aHapo alipopumua pumzi yake ya mwisho, kwa maana alikuwa akifa, akamwita mwanawe Benoni. ▼▼Benoni maana yake Mwana wa huzuni yangu.
Lakini babaye akamwita Benyamini. ▼▼Benyamini maana yake Mwana wa mkono wangu wa kuume.
Copyright information for
SwhNEN