‏ Hebrews 10:15-17

15 aPia Roho Mtakatifu anatushuhudia kuhusu jambo hili. Kwanza anasema:

16 b“Hili ndilo Agano nitakalofanya nao
baada ya siku hizo, asema Bwana.
Nitaziweka sheria zangu mioyoni mwao,
na kuziandika katika nia zao.”
17 cKisha aongeza kusema:

“Dhambi zao na kutokutii kwao
sitakumbuka tena.”
Copyright information for SwhNEN
The selected Bible will not be clickable as it does not support the Vocabulary feature. The vocabulary is available by hovering over the verse number.

Everyone uses cookies. We do too! Cookies are little bits of information stored on your computer which help us give you a better experience. You can find out more by reading the STEPBible cookie policy.