Isaiah 41:6-7
6 akila mmoja humsaidia mwinginena kusema kwa ndugu yake, “Uwe hodari!”
7 bFundi humtia moyo sonara,
yeye alainishaye kwa nyundo
humhimiza yeye agongeaye kwenye fuawe,
Humwambia yeye aunganishaye, “Ni kazi njema.”
Naye huikaza sanamu kwa misumari ili isitikisike.
Copyright information for
SwhNEN