Isaiah 5:8-9
Ole Na Hukumu
8 aOle wenu mnaoongeza nyumba baada ya nyumbana kuunganisha mashamba baada ya mashamba
hadi hakuna nafasi iliyobaki,
nanyi mnaishi peke yenu katika nchi.
9 b Bwana Mwenye Nguvu Zote amesema nikisikia:
“Hakika nyumba kubwa zitakuwa ukiwa,
nayo majumba ya fahari yatabaki bila kukaliwa.
Copyright information for
SwhNEN