Jeremiah 22:10-12
10 aUsimlilie yeye aliyekufa, wala usimwombolezee;badala yake, afadhali umlilie kwa uchungu
yule aliyepelekwa uhamishoni,
kwa sababu kamwe hatairudia
wala kuiona tena nchi yake alikozaliwa.
11 bKwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana kuhusu Shalumu ▼
▼Shalumu ndiye pia anaitwa Yehoahazi.
mwana wa Yosia, aliyeingia mahali pa baba yake kuwa mfalme wa Yuda, lakini ameondoka mahali hapa: “Yeye kamwe hatarudi tena. 12 dAtafia huko mahali walipompeleka kuwa mateka; hataiona tena nchi hii.”
Copyright information for
SwhNEN