‏ Jeremiah 49:37

37 aNitamfadhaisha Elamu mbele ya adui zao,
mbele yao wale wanaotafuta uhai wao;
nitaleta maafa juu yao,
naam, hasira yangu kali,”
asema Bwana.
“Nitawafuatia kwa upanga
mpaka nitakapowamaliza.
Copyright information for SwhNEN