Leviticus 14:10
10 a“Siku ya nane, ni lazima alete kondoo dume wawili na kondoo jike mmoja, wote wa mwaka mmoja na wasio na dosari, pamoja na sehemu tatu za kumi za efa ▼▼Sehemu tatu za kumi za efa ni sawa na kilo 3.
za unga laini uliochanganywa na mafuta, kwa ajili ya sadaka ya nafaka, na logi moja ▼▼Logi ni kipimo cha ujazo ambacho ni sawa na lita 0.3.
ya mafuta.
Copyright information for
SwhNEN