‏ Leviticus 23:27-29

27 a“Siku ya kumi ya mwezi huu wa saba ni Siku ya Upatanisho. Mtafanya kusanyiko takatifu, mfunge, nanyi mtoe sadaka kwa Bwana ya kuteketezwa kwa moto. 28Msifanye kazi siku hiyo, kwa sababu ni Siku ya Upatanisho, ambapo upatanisho unafanyika kwa ajili yenu mbele za Bwana Mungu wenu. 29 bMtu yeyote ambaye hatafunga siku hiyo ni lazima akatiliwe mbali na watu wake.
Copyright information for SwhNEN