Leviticus 24:5-6
5 a“Chukua unga laini, uoke mikate kumi na miwili, ukitumia sehemu mbili za kumi za efa ▼▼Sehemu mbili za kumi za efa ni sawa na kilo mbili.
za unga kwa kila mkate. 6 cIweke katika mistari miwili, kila mstari mikate sita, uiweke mbele za Bwana juu ya meza iliyotengenezwa kwa dhahabu safi.
Copyright information for
SwhNEN