Leviticus 27:16
16“ ‘Kama mtu anaweka sehemu ya ardhi ya jamaa yake wakfu kwa Bwana, thamani yake itawekwa kulingana na kiasi cha mbegu inayohitajiwa kupandwa katika ardhi hiyo, yaani homeri ▼▼Homeri moja ni sawa na efa 10, ambazo ni sawa na kilo 100.
moja ya mbegu za shayiri kwa shekeli hamsini za fedha.
Copyright information for
SwhNEN