Luke 15:1-2
Mfano Wa Kondoo Aliyepotea
(Mathayo 18:12-14)
1 aBasi watoza ushuru na wenye dhambi wote walikuwa wanakusanyika ili wapate kumsikiliza Yesu. 2 bLakini Mafarisayo na walimu wa sheria wakanungʼunika wakisema, “Huyu mtu anawakaribisha wenye dhambi na kula nao.”
Copyright information for
SwhNEN