Malachi 1:3-4
3 alakini nikamchukia Esau, nami nimeifanya milima yake kuwa ukiwa, na urithi wake nimewapa mbweha wa jangwani.”4 bEdomu anaweza kusema, “Ingawa tumepondapondwa, tutajenga upya magofu.”
Lakini hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote asemalo: “Wanaweza kujenga, lakini nitabomoa. Wataitwa Nchi Ovu, watu ambao siku zote wapo chini ya ghadhabu ya Bwana.
Copyright information for
SwhNEN