‏ Nahum 2:3


3 aNgao za askari wake ni nyekundu,
mashujaa wamevaa nguo nyekundu.
Chuma kwenye magari ya vita chametameta,
katika siku aliyoyaweka tayari,
mikuki ya mierezi inametameta.
Copyright information for SwhNEN