Psalms 106:43-45
43 aMara nyingi aliwaokoalakini walikuwa wamezama kwenye uasi,
nao wakajiharibu katika dhambi zao.
44 bLakini akaangalia mateso yao
wakati aliposikia kilio chao;
45 ckwa ajili yao akakumbuka agano lake,
na kutokana na upendo wake mkuu akapooza hasira yake.
Copyright information for
SwhNEN