Psalms 12:2-4
2 aKila mmoja humwambia jirani yake uongo;midomo yao ya hila huzungumza kwa udanganyifu.
3 b Bwana na akatilie mbali midomo yote ya hila
na kila ulimi uliojaa majivuno,
4 cule unaosema, “Kwa ndimi zetu tutashinda;
midomo ni mali yetu, bwana wetu ni nani?”
Copyright information for
SwhNEN