Psalms 79:3-5
3 aWamemwaga damu kama majikuzunguka Yerusalemu yote,
wala hakuna yeyote wa kuwazika.
4 bTumekuwa kitu cha aibu kwa jirani zetu,
cha dharau na mzaha kwa wale wanaotuzunguka.
5 cHata lini, Ee Bwana? Je, wewe utakasirika milele?
Wivu wako utawaka kama moto hadi lini?
Copyright information for
SwhNEN