‏ Psalms 8:4-6

4 amwanadamu ni kitu gani hata unamfikiria,
binadamu ni nani hata unamjali?
5 bUmemfanya chini kidogo kuliko viumbe wa mbinguni,
ukamvika taji ya utukufu na heshima.

6 cUmemfanya mtawala juu ya kazi za mikono yako;
umeweka vitu vyote chini ya miguu yake.
Copyright information for SwhNEN
The selected Bible will not be clickable as it does not support the Vocabulary feature. The vocabulary is available by hovering over the verse number.