Revelation of John 12:14
14 aLakini huyo mwanamke akapewa mabawa mawili ya tai mkubwa, kusudi aweze kuruka mpaka mahali palipotayarishwa kwa ajili yake huko jangwani, ambako atatunzwa kwa wakati na nyakati na nusu, ▼▼Maana yake ni miaka mitatu na nusu.
ya wakati ambako yule joka hawezi kufika.
Copyright information for
SwhNEN