Ruth 1:20
20 aAkawaambia, “Msiniite tena Naomi, ▼▼Naomi maana yake Wa Kupendeza, Wa Kufurahisha.
niiteni Mara, ▼ kwa sababu Mwenyezi ▼▼Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania.
amenitendea mambo machungu sana.
Copyright information for
SwhNEN