Zephaniah 2:15
15 aHuu ndio mji uliotukuka na kuishi kwa furahawakijisikia salama.
Ulisema moyoni mwako,
“Mimi ndimi, na wala hapana mwingine ila mimi.”
Jinsi gani umekuwa gofu,
mahali pa kulala wanyama pori!
Wote wanaopita kando yake wanauzomea
na kutikisa mkono kwa dharau.
Copyright information for
SwhNEN